0
Wakati Raisi akisisitiza hapa kazi tu! Kijana mwenye umri wa miaka 18 aliyefahamika kwa jina Mohamed Iddy ametiwa kwenye mikono ya polisi kwa kile kinachoelezwa kuwa huwatishia watu maisha kwa kuwakimbiza na kisu pale anaponyimwa msaada sababu iliyopelekea raia  wa mjini IRINGA kufikisha taarifa polisi ili aweze kushughulikiwa na ndipo jamaa alipojikuta kwenye mikono ya wanaojua zaidi yake...

Post a Comment

 
Top