0
Hivi karibuni raisi wa Zimbabwe Robert mugabe amejikuta akikumbwa na upinzani mkubwa kutokana na kuiongoza nchi hiyo kwa muda mrefu bia maendeleo yoyote huku asilimia zaidi ya 80 ya wananchi wake hawana ajira na hali ya maisha  ikizidi kuwa ngumu.
Aliyekuwa makamu wa rais wa Zimbabwe Joice Mujuru amezindua chama kipya cha upinzani kwa jina Zimbabwe People First, na atakitumia kumpinga rais wa nchi hiyo Robert Mugabe kwenye uchaguzi.
Mujuru alikuwa makamu wa rais mwaka 2004 na kufutwa mwaka 2014
Next
Newer Post
Previous
This is the last post.

Post a Comment

 
Top